Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe. Jafar Haniu amepiga kura Leo katika kituo cha shule ya msingi Madaraka ikiwa ni haki ya kikatiba kumchagua Mwenyekiti wa Kitongoji katika mamlaka ya mji mdogo wa Tukuyu.
Jumla ya wa kazi 147.118 walitarajiwa kupiga kura katika vituo 529 ndani ya vijiji 99 kata 29 zilizopo Rungwe morning Moneya.