Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi alipowasili kwenye uwanja wa Ujenzi wilayani Liwale Novemba 26, 2024 kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa CCM Mkoa wa Lindi wa Kufunga Kampeni na kuhamasisha wananchi kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wananchi wa Liwale wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza kwenye uwanja wa Ujenzi wilayani Liwale Novemba 26, 2024 katika Mkutano wa CCM Mkoa wa Lindi wa Kufunga Kampeni na kuhamasisha wananchi kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wananchi wa Liwale wakimshangilia Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza kwenye uwanja wa Ujenzi wilayani Liwale Novemba 26, 2024 katika Mkutano wa CCM Mkoa wa Lindi wa Kufunga Kampeni na kuhamasisha wananchi kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)