RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Meneja Mahusiano wa Mikopo ya Nyumba Benki ya Azania Bi. Hellen Hassan Moka akitowa maelezo ya utaratibu wa kupata mikopo kupita benki ya Azania, wakati akitembelea maonesho kabla ya kuzindua Mradi wa Mauzo wa Chumbuni, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) Ndg.Sultan Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Meneja Mahusiano Mikopo ya Nyumba Benki ya NMB Pauline Sangale,akitowa maelezo ya utaratibu wa kupata mikopo kupita benki ya NMB, wakati akitembelea maonesho kabla ya kuzindua Mradi wa Mauzo wa Chumbuni, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) Ndg.Sultan Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiandika maoni yake kwa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) baada ya kutembelea maonesho ya Mabenki katika Uzinduzi wa Mradi Mauzo wa Nyumba za Chumbuni, hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika Ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Mauzo ya Nyumba za Chumbuni za Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika Ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.(Picha na Ikulu)
L