Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefika Karimjee kushirimi pamoja na waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Lawrence Mafuru, aliyekuwa karibu na Mtendaji wa Timu ya Mipango kabla ya kifo chake. Lawrence Mafuru alifariki dunia akiwa nchini India, ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
Shughuli ya kumuaga marehemu inafanyika katika Ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam, ambapo ndugu, marafiki, na viongozi mbalimbali wamekusanyika kumuenzi na kutoa heshima zao za mwisho.
Baada ya hafla hiyo, mwili wa marehemu utapumzishwa katika makaburi ya Kondo Ununio wilayani Kinondoni November 15, 2024 kulingana na mipango ya familia.