Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mkuu wa Kikosi cha 834 KJ, Kanali Festo Mbanga, wakati alipofanya ziara kukagua utekelezaji wa matumizi ya nishati safi ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan la kuzitaka Taasisi zote za Serikali zinazohudumia zaidi ya yatu 100 kutumia nishati hiyo kwa ajili ya kupikia, jijini Dodoma Novemba 07, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa kuhusu kuni poa na Mkuu wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato Mwasiti Msokola, nishati mbadala ambayo inayotokana na mabaki ya miti, miwa na mazao, wakati alipofanya ziara kukagua utekelezaji wa matumizi ya nishati safi ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan la kuzitaka Taasisi zote za Serikali zinazohudumia zaidi ya yatu 100 kutumia nishati hiyo kwa ajili ya kupikia, jijini Dodoma Novemba 07, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia majiko yanayotumia kuni poa, ambayo nishati mbadala inayotokana na mabaki ya miti, miwa na mazao, wakati alipofanya ziara kukagua utekelezaji wa matumizi ya nishati safi ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan la kuzitaka Taasisi zote za Serikali zinazohudumia zaidi ya yatu 100 kutumia nishati hiyo kwa ajili ya kupikia kwenye Shule ya Sekondari Wasichana Msalato jijini Dodoma Novemba 07, 2024. Kushoto ni Mpishi Michael Cholomola. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa kuhusu matumizi ya nishati safi na SACP- Daimu Mmolosha (kushoto), wakati alipofanya ziara kukagua utekelezaji wa matumizi wa nishati hiyo ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan la kuzitaka Taasisi zote za Serikali zinazohudumia zaidi ya yatu 100 kutumia nishati hiyo kwa ajili ya kupikia, katika Gereza la Isanga jijini Dodoma Novemba 07, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia makaa ya mawe yanayotumika kwa ajili ya kupikia, wakati alipofanya ziara kukagua utekelezaji wa matumizi wa nishati hiyo ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan la kuzitaka Taasisi zote za Serikali zinazohudumia zaidi ya yatu 100 kutumia nishati hiyo kwa ajili ya kupikia, katika Gereza la Isanga jijini Dodoma Novemba 07, 2024. Kulia ni SACP- Daimu Mmolosha. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mkoba uliyotengeneza na Jeshi la Magereza, wakati alipofanya ziara katika Gereza la Isanga jijini Dodoma Novemba 07, 2024. Kulia ni SGT. Mwelela Sanura. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu).