Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akifungua mkutano mkuu wa 12 wa Chama cha Kitaaluma cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Baadhi ya Watunza Kumbukumbu kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano mkuu wa 12 wa Chama cha Kitaaluma cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) uliofanyika jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (hayupo pichani) kufungua mkutano mkuu wa 12 wa Chama cha Kitaaluma cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (wa kwanza kushoto) akifurahia jambo na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi wakati Waziri huyo alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete kuhudhuria ufunguzi wa mkutano mkuu wa 12 wa Chama cha Kitaaluma cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) jijini Dodoma.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akipokea zawadi wakati wa mkutano mkuu wa 12 wa Chama cha Kitaaluma cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyotolewa na Chama hicho kwa kutambua mchango anaoutoa katika taaluma hiyo.
Sehemu ya washiriki wa mkutano mkuu wa 12 wa Chama cha Kitaaluma cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) wakiwa kwenye ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Baadhi ya Wakurugenzi Wasaidizi na Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa 12 wa Chama cha Kitaaluma cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) jijini Dodoma.
Baadhi ya Watunza Kumbukumbu kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakisikilza hotuba ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla wakati akifunga mkutano mkuu wa 12 wa Chama cha Kitaaluma cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) uliofanyika jijini Dodoma