RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Mwaka wa Pamoja kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Taasisi Zinazojishughulisha na Mikopo ya Nyumba, mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 16-10-2024.(Picha na Ikulu)
WASHIRIKI wa Mkutano wa Mwaka wa Pamoja Kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Taasisi Zinazojishughulisha na Mikopo ya Nyumba, wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa mkutano huo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 16-10-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jarida la mwaka 2024 la “African Union Housing Finance” akikabidhiwa na Mwakilishi wa taaisi hiyo Kecia Rust, baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Pamoja kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Taasisi Zinazojishughulisha na Mikopo ya Nyumba, mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 16-10-2024.(Picha na Ikulu).