Kocha mpya wa Arsenal, Mikel Arteta akifurahia na wachezaji wake baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United usiku wa jana Uwanja wa Emirates kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England, mabao ya Nicolas Pepe dakika ya nane na Sokratis Papastathopoulos dakika ya 42 wakiuanza mwaka mpya vizuri PICHA ZAIDI SOMA HAPA
ARSENAL YAUANZA VYEMA MWAKA MPYA,YAICHAPA 2-0 MAN UNITED UWANJA WA EMIRATES
By Alex Sonna
January 2, 2020 | 8:27 am

Related Stories
View all
Michezo
23 minutes ago
KOREA KUSINI YAICHAPA CZECHIA 2-1 KOMBE LA DUNIA
Timu ya Taifa ya Korea Kusini imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Czechia katika mchezo wa Kundi A uliochezwa nchini Mexico.…
Michezo
10 hours ago
MEXICO YAIANZA KOMBE LA DUNIA KWA USHINDI WA MABAO 2-0 DHIDI YA AFRIKA KUSINI
Timu ya Taifa ya Mexico imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Timu ya Taifa ya Afrika Kusini katika mchezo wa ufunguzi…
