Mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao pekee dakika ya tisa ikiwalaza wenyeji, Polisi Tanzania 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Mechi nyingine ya Ligi Kuu leo, Namungo FC wameshinda 1-0 ugenini dhidi ya JKT Tanzania bao pekee la Bgirimana Blaise dakika ya 90
AZAM FC,NAMUNGO ZANG’ARA UGENINI LIGI KUU VODACOM
By Alex Sonna
December 29, 2019 | 4:07 pm

Related Stories
View all
Michezo
1 hour ago
MAGEREZA YAIPIGISHA KWATA POLISI BAMMATA 2026
Na Ssgt Mawazo Mtondo – MWANZA Timu ya mpira wa pete ya Jeshi la Magereza imeendeleza kiwango chake kizuri katika Mashindano ya Baraza la…
Michezo
3 hours ago
MWENYEKITI NYAMKA AWAASA WENYEVITI NA MABALOZI KUSAFISHA MAZINGIRA KUELEKEA MVUA ZA EL-NINO
Na Victor Masangu, Kibaha Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibaha mjini Mwalimu Mwajuma Nyamka amewaagiza wenyeviti wote wa serikali za mitaa…
