Anthony Martial akishangilia baada ya kuifunga mabao mawili Manchester United dakika za 24 na 51 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya Man United yamefungwa na Mason Greenwood dakika ya 36 na Marcus Rashford dakika ya 41, wakati bao pekee la Newcastle United limefungwa na Matty Longstaff dakika ya 17 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MAN UNITED YAIZAMISHA 4-1 NEWCASTLE,MARTIAL APIGA MBILI
By Alex Sonna
December 27, 2019 | 3:42 am

Related Stories
View all
Michezo
12 hours ago
MGUMBA ALETA DHAHABU NYINGINE MALIASILI
Na Sixmund Begashe, Moshi WAPENZI wa michezo wa Mkoa wa Kilimanjaro wameendelea kushuhudia Wizara ya Maliasili na Utalii ikisomba medali ya tatu ya dhahabu…
Michezo
3 days ago
SIMBA QUEENS YAICHAPA YANGA 3-0, YATINGA FAINALI NGAO YA JAMII
NA NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM SIMBA Queens imefuzu kucheza fainali ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake baada ya kuichapa Yanga Princess mabao 3-0…
