Willian akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Chelsea mabao yote mawili dakika za 12 akimalizia pasi ya Mateo Kovac na ya 45 na ushei kwa penalti katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur inayofundishwa na kocha wao wa zamani, Jose Mourinho kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI SOMA HAPA
CHELSEA YAICHAPA 2-0 SPURS YA MOURINHO
By Alex Sonna
December 23, 2019 | 3:26 am

Related Stories
View all
Michezo
19 hours ago
ARGENTINA NA HISPANIA KUMINYANA FAINALI KOMBE LA DUNIA 2026
Timu ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa England mabao 2-1 katika mchezo wa nusu fainali…
Michezo
1 day ago
WAZIRI KOMBO APOKEA RASMI KOMBE LA USHINDI WA WANADIPLOMASIA DHIDI YA WABUNGE KATIKA BONANZA LA CRDB
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.Dkt. Mahmoud Thabit Kombo leo Julai 14, 2026 amekabidhiwa rasmi kombe kutoka kwa Naibu…
