Kipa wa Manchester United, David de Gea akisikitika baada ya kufanya makosa yaliyomuwezesha Ismaila Sarr kuifungia Watford bao la kwanza dakika ya 50 Mashetani Wekundu wakichapwa 2-0 na wenyeji wao hao kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vicarage Road. Bao la pili la Watford limefungwa na Troy Deeney kwa penalti baada ya Aaron Wan-Bissaka kumchezea rafu Sarr PICHA ZAIDI SOMA HAPA
DE GEA ‘ATOA BOKO’ MAN UNITED YACHAPWA 2-0 NA WATFORD VICARAGE ROAD
By Alex Sonna
December 23, 2019 | 3:23 am

Related Stories
View all
Michezo
8 hours ago
HISTORIA NA MAFANIKIO YA TANZANIA PRISONS SC YAWEKWA WAZI KWA MASHABIKI, JIJINI DODOMA
Na. Ssgt Mawazo Mtondo – Dodoma. Mkuu wa Sehemu ya Huduma kwa wafungwa (OMS)Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Emmanuel Malisa,…
Michezo
9 hours ago
SIMBA SC YAWASHA ‘MOTO’ CRDB FEDERATION CUP
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya TRA United katika mchezo wa kuisaka tiketi ya kufuzu nusu…
