Mkurugenzi wa Taasisi isiyoya kiserikali inayojishughulisha na masuala ya Utu na Mazingira (HUDEFO) Sarah Pima akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Program ya mpango shirikishi wa Kuunda uandishi wa habari wa Mazingira (Collaborative Environment Journalism Naturing Program- ECJNP) ambao umefanyika leo jijini Dar es salaam na kuzikutanisha taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali ikiwemo NEMC,UNEP,Diplomatic Mission sambamba na wanahabari wa uchoraji wa vikatuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Media Foundation (TMF) Dastan Kamanzi akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Program ya mpango shirikishi wa Kuunda uandishi wa habari wa Mazingira (Collaborative Environment Journalism Naturing Program- ECJNP) ambao umefanyika leo jijini Dar es salaam na kuzikutanisha taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali ikiwemo NEMC,UNEP,Diplomatic Mission sambamba na wanahabari wa uchoraji wa vikatuni.
Mwanahabari na Mchoraji wa Katuni maarufu nchini Masoud Kipanya akiwasilisha Mada katika hafla ya uzinduzi wa Program ya mpango shirikishi wa Kuunda uandishi wa habari wa Mazingira (Collaborative Environment Journalism Naturing Program- ECJNP) ambao umefanyika leo jijini Dar es salaam na kuzikutanisha taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali ikiwemo NEMC,UNEP,Diplomatic Mission sambamba na wanahabari wa uchoraji wa vikatuni.
Profesa Hamud Majamba kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam akitoa mada ya kuwakumbusha wanahabari wa mazingira majukumu yao katika hafla ya uzinduzi wa Program ya mpango shirikishi wa Kuunda uandishi wa habari wa Mazingira (Collaborative Environment Journalism Naturing Program- ECJNP) ambao umefanyika leo jijini Dar es salaam na kuzikutanisha taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali ikiwemo NEMC,UNEP,Diplomatic Mission sambamba na wanahabari wa uchoraji wa vikatuni.
Mwenyekit wa Mtandao wa waokota taka rejeshi Mkoa wa Dar es salaam (MTAWADA) Martha Mollel akichangia mada na kutoa mchango wake katika hafla ya uzinduzi wa Program ya mpango shirikishi wa Kuunda uandishi wa habari wa Mazingira (Collaborative Environment Journalism Naturing Program- ECJNP) ambao umefanyika leo jijini Dar es salaam na kuzikutanisha taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali ikiwemo NEMC,UNEP,Diplomatic Mission sambamba na wanahabari wa uchoraji wa vikatuni.
Baadhi ya wanahabari ambao wameshiriki katika hafla ya uzinduzi wa Program ya mpango shirikishi wa Kuunda uandishi wa habari wa Mazingira (Collaborative Environment Journalism Naturing Program- ECJNP) ambao umefanyika leo jijini Dar es salaam na kuzikutanisha taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali ikiwemo NEMC,UNEP,Diplomatic Mission sambamba na wanahabari wa uchoraji wa vikatuni.
Picha ya pamoja ya wanahabari na wahariri ambao wamekabidhiwa cheti kati katika hafla ya uzinduzi wa Program ya mpango shirikishi wa Kuunda uandishi wa habari wa Mazingira (Collaborative Environment Journalism Naturing Program- ECJNP) ambao umefanyika leo jijini Dar es salaam na kuzikutanisha taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali ikiwemo NEMC,UNEP,Diplomatic Mission sambamba na wanahabari wa uchoraji wa vikatuni.
Matukio mbalimbali ya picha baada ya uzinduzi wa Program ya mpango shirikishi wa Kuunda uandishi wa habari wa Mazingira (Collaborative Environment Journalism Naturing Program- ECJNP) ambao umefanyika leo jijini Dar es salaam na kuzikutanisha taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali ikiwemo NEMC,UNEP,Diplomatic Mission sambamba na wanahabari wa uchoraji wa vikatuni.
…………………
NA MUSSA KHALID
Taasisi isiyoya kiserikali inalojishughulisha na masuala ya Utu na Mazingira (HUDEFO) kwa kushirikiana na Tanzania Media Foundation wamewasihi waandishi wa habari kutumia kalamu zao kuandika na kutangaza taarifa za uwajibikaji na kiuchunguzi ili kuleta tija katika jamii.
Hayo yamejiri leo jijini Dar es salaam katika uzinduzi wa Program ya mpango shirikishi wa Kuunda uandishi wa habari wa Mazingira ambao umezikutanisha taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali ikiwemo NEMC,UNEP,Diplomatic Mission sambamba na wanahabari wa uchoraji wa vikatuni.
Akizungumza katika uzinduzi huo Mkurugenzi wa Taasisi ya HUDEFO Sarah Pima amesema lengo la mradi huo ni kuhakikisha wanawajengea uwezo wanahabari kwenda kuandika habari za uwajibikaji ili kuleta maendeleo hususani katika udhibiti taka ulinzi na uhifadhi wa mazingira.
Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Media Foundation (TMF) Dastan Kamanzi wamekuwa wakitoa mafunzo ya mara kwa mara kwa waandishi wa habari za mazingira ili waweze kuripoti juu udhibiti wa taka kwa ajili ya usimamizi wa taka za Plastiki,kwa akuandika habari zenye kulenga uwajibikiaji,uelimishaji na tija kwa jamii.
Martha Mollel ni Mwenyekit wa Mtandao wa waokota taka rejeshi Mkoa wa Dar es salaam (MTAWADA) ameipongeza HUDEFO kuwaunga mkono katika shughuli zao za ukusanyaji wa taka jambo limesaidia kuondoa dhana kwa jamii ya kutoheshimu kazi hiyo.
Hata hivyo imeelezwa kuwa Program hiyo itakuwa ni endelevu ambapo itakwenda kwa miezi mitatu mitatu mpaka kufika miaka mitatu jambo litakalomfanya aweze kuwa na ubobezi katika kuandika na kutangaza taarifa za mazingira.