Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax akiwasili kwenye shule ya Makongo Sekondari kwa ajili ya uzinduzi wa jengo jipya la ghorofa lililojengwa katika shule hiyo unaotarajiwa kufanyika hivi punde leo Julai 26, 2024, kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali John Jacob Mkunda na kushoto ni Meja Godliver Swai Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Makongo.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax akipokea zawadi ya viatu vinavyotengemezwa na wanafunzi shule ya Makongo Sekondari mara baada ya kutembelea maonesho ya wanafunzi katika uzinduzi wa jengo jipya la ghorofa lililojengwa katika shule hiyo unaotarajiwa kufanyika hivi punde leo Julai 26, 2024, kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali John Jacob Mkunda na katikati ni Meja Godliver Swai Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Makongo.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax akiangalia viatu vinavyotengemezwa na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Makongo mara wakati alipotembelea maonesho ya wanafunzi katika uzinduzi wa jengo jipya la ghorofa lililojengwa katika shule hiyo unaotarajiwa kufanyika hivi punde Julai 26, 2024, kulia ni Meja Godliver Swai Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Makongo.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax akipata maelezo kutoka kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Makongo kuhusu sabuni za kusafishia Maliwato wakati akitembelea maonesho ya wanafunzi katika uzinduzi wa jengo jipya la ghorofa lililojengwa katika shule hiyo unaotarajiwa kufanyika hivi punde leo Julai 26, 2024.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax akipata maelezo kutoka kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya kuhusu namna wanavyojifunza hesabu wakati alitembelea maonesho ya wanafunzi katika uzinduzi wa jengo jipya la ghorofa lililojengwa katika shule hiyo unaotarajiwa kufanyika hivi punde leo Julai 26, 2024.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax , Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali John Jacob Mkunda kushoto na Meja Godliver Swai Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Makongo wa pili kutoka kulia wakifurahia mara baada ya kufurahishwa na maelezo ya wanafunzi wakati alipotembelea maonesho ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na wanafunzi hao mbali ya masomo yao ya darasani.
Muonekano ya jengo la Ghorofa la shule ya sekondari ya Makongo ambalo limezinduliwa leo.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali John Jacob Mkunda kushoto na Meja Godliver Swai Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Makongo kulia wakiwa wamesimama wakati wimbo wa taifa ulipokuwa ikipigwa kwenye uzinduzi wa jengo jipya la ghorofa lililojengwa katika shule ya sekondari ya Makongo unaotarajiwa kufanyika hivi punde leo Julai 26, 2024,
Baadhi ya wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo ya uzinduzi.
Baadhi ya Maofisa mbalimbali wa JWTZ wakipiga saluti wakati wimbo wa taifa ukipigwa kwenye uzinduzi wa jengo la ghorofa la shule ya sekondari ya Makongo unaotarajiwa kufanyika hivi punde leo Julai 26, 2024.
Baadhi ya maofisa wa JWTZ, wageni waalikwa na wanafunzi wakifuatilia matukio ya uzinduzi wa jengo hilo.