Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 24 Julai, 2024.

RAIS DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI