Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi akizungumza na watumishi wa ofisi yake wakati wa kikao kazi chake na watumishi wa ofisi hiyo kilicholenga kuzungumzia masuala ya kiutumishi na kuchagua Mfanyakazi Hodari kwa mwaka 2024 kilichofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi (hayupo pichani) wakati akizungumza nao kuhusu masuala ya kiutumishi na kuchagua Mfanyakazi Hodari wa ofisi hiyo kwa mwaka 2024 kilichofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.
Sehemu ya Wakurugenzi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi (hayupo pichani) wakati akizungumza nao kuhusu masuala ya kiutumishi na kuchagua Mfanyakazi Hodari wa ofisi hiyo kwa mwaka 2024 kilichofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Mussa Magufuli akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Juma Mkomi (hayupo pichani) kuzungumza na watumishi kuhusu masuala ya kiutumishi na kuchagua Mfanyakazi Hodari wa ofisi hiyo kwa mwaka 2024 kilichofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma
Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bibi Hilda Kabissa akimtangaza mfanyakazi hodari aliyechaguliwa na watumishi wa ofisi hiyo kwa mwaka 2024.
Sehemu ya Wakurugenzi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi (hayupo pichani) wakati akizungumza nao kuhusu masuala ya kiutumishi na kuchagua Mfanyakazi Hodari wa ofisi hiyo kwa mwaka 2024 kilichofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.
Wafanyakazi hodari wa Idara na Vitengo wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI (mstari wa kwanza) wakiwa katika kikao kazi kilichohusu masuala ya kiutumishi na kuchagua Mfanyakazi Hodari wa ofisi hiyo kwa mwaka 2024 kilichofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.
Mtumishi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Evarist Venant, akichangia hoja wakati wa kikao kazi kilichohusu masuala ya kiutumishi na kuchagua Mfanyakazi Hodari wa ofisi hiyo kwa mwaka 2024 kilichofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Mussa Magufuli (hayupo pichani) kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Juma Mkomi (hayupo pichani) kuzungumza na watumishi hao kwenye kikao kazi kilichohusu masuala ya kiutumishi na kuchagua Mfanyakazi Hodari wa ofisi hiyo kwa mwaka 2024 kilichofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.
Mfanyakazi Hodari wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Juma Ijumaa akitoa neno la shukrani kwa watumishi wa ofisi hiyo, mara baada ya kuchaguliwa kuwa mfanyakazi bora kwa mwaka 2024.
Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakikamilisha zoezi la kupiga kura kumchagua mfanyakazi Hodari wa ofisi hiyo kwa mwaka 2024
Wakurugenzi wasaidizi na wawakilishi wa wafanyakazi bora kutoka katika Idara na Vitengo, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakishuhudia zoezi la kuhesabu kura za kumpata mfanyakazi Hodari wa ofisi yake kwa mwaka 2024.