Mwenyekiti wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Dkt. Richard Faustine Sambaiga (wa pili kulia) akizungumza katika kikao kati ya Shirika la Plan International na Bodi hiyo ilipokuwa inatembelea Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa utekelezaji wa miradi katika Mashirika hayo.
Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bi. Vickness Mayao (kulia) akifafanua jambo katika kikao kati ya Shirika la Plan International na Bodi hiyo ilipokuwa inatembelea Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa utekelezaji wa miradi katika Mashirika hayo.
Meneja Miradi kutoka Shirika la Plan International Bw. Nicodemas Gachu akielezea kuhusu utekelezaji wa Miradi inayotekelezwa na Shirika hilo katika kikao kati ya Shirika hilo na Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ilipotembelea Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa utekelezaji wa miradi katika Mashirika hayo.
Mjumbe wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Dkt.Zena Mabeyo (katikati) akieleza jambo katika kikao kati ya Shirikala Plan Internationla na Bodi hiyo ilipotembelea Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa utekelzaji wa miradi katika Mashirika hayo.
Mjumbe wa Bodi ya Uratibu wa Yasiyo ya Kiserikali Dkt.Alli Mcharazo (katikati) akielezea jambo katika kikao kati ya Shirika la Plan International na Bodi hiyo ilipotembelea Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa utekelezaji wa miradi katika Mashirika hayo.
Mjumbe wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Hassan Samli (kulia) akielezea jambo katika kikao kati ya Shirika la Plan International na Bodi hiyo ilipotembelea Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa utekelezaji wa miradi katika Mashirika hayo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Dkt. Richard Faustine Sambaiga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi na Meneja wa Miradi kutoka Shirika la Plan International Bw. Nicodemas Gachu mara baada ya kumaliza kikao kati ya Bodi na Shirika hilo kilicholenga kufuatilia utekelezaji wa Miradi katika Shirika hilo jijini Mwanza.
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW