Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Mahakama Profesa Olisante Ole Gabriel alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania. Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza maelezo ya utekelezaji wa Ofisi ya kutoka kwa Afisa Sheria kutoka RITA Bw. Joseph Mwakatoba alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania wakifuatilia mawasilisho wakati wa mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimzikiliza Bi. Pendo Makonda Mwanasheria kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka wakati alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Felisha wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimzikiliza Mkurugenzi wa Mashauri na Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo wakati alipotembelea banda la ofisi hiyo wakati wa maonesho kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Felisha akitoa ufafanuzi kuhusu huduma za kisheria kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakati alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasili na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024 ili kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua Miongozo Saba ya Kisheria wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)