RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni na Wananchi katika kuitikia dua baada ya kumalizika kwa Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika baada ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A”Unguja , ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni na Wananchi katika kuitikia dua baada ya kumalizika kwa Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika baada ya Ibada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A”Unguja, ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania Sheikh Said Othman.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania Sheikh.Said Othman, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 15-3-2024.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh, Wanavyuoni, Viongozi wa Serikali na Wananchi katika Kisomo na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, iliyofanyika katika Msikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 15-3-2024, na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah.(Picha na Ikulu).
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Wanavyuoni, Masheikh na Wananchi katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Zawiyatul Qadiriya Tanzania, iliyofanyika katika Masikiti Ngamia Welezo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 15-3-2024.(Picha na Ikulu).