RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoka katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar, baada ya kumaliza ziara yake kutembelea Vikosi vya Idara Maalum vya SMZ na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed na (kulia kwa Rais) Mkuu wa KVZ Luteni Kanali Said Ali Shamuhuna.(Picha na PIGANAJI wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Zanzibar wakipiga saluti na kutowa heshima wakati ukipigwa wimbo wa Taifa baada ya kuwasili kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika viwanja vya Chuo cha Kikosi cha Zimamoto Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, akiwa katika ziara yake kutembelea Vikosi vya Idara Maalum vya SMZ.(Picha na Ikulu.(Picha na Ikulu)
KAMISHNA wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Zanzibar Rashid Mzee Abdallah akizungumza na kutoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa ziara yake kutembelea Vikosi vya Idara Maalum vya SMZ, mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya Chuo cha Kikosi Zimamoto Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wapiganaji wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Zanzibar, wakati wa ziara yake kutembelea Vikosi vya Idara Maalum vya SMZ, mkutano huo uliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Zimamoto Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu).
WAPIGANAJI wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa ziara yake kutembelea Vikosi vya Idara Maalum vya SMZ, mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya Zimamoto Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha naIkulu)