Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed Ali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed Ali wakati wakishuhudia utiaji saini wa Mikataba mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo iliyotiwa saini na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Damas Ndumbaro na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia Balozi Taye Atske Selassie kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01Machi 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed Ali, mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Machi, 2024.
Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed Ali akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed Ali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Machi, 202