Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mheshimiwa Denis Londo akiwakabidhi wanafunzi wa Shule ya Msingi Igima iliyopo Wilayani Mlimba wakati Kamati hiyo ilitembelea na kukagua ujenzi wa kukagua ujenzi wa Shule hiyo. Fedha hizo zilichangishwa na wajumbe wa Kamati hiyo na watendaji waliombatana nao.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mheshimiwa Denis Londo akizungumza na watendaji mbalimbali wakati Kamati hiyo ilitembelea na kukagua ujenzi wa Shule ya Msingi Igima iliyopo Halmashauri ya Mlimba mkoani Morogoro. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Sospeter Mtwale na kulia ni Mkuu wa Wiaya ya Ifakara Dunstan Kyoba