Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia saini Sheria ya Mkaguzi wa Umma ,ambapo alitia saini pia Sheria mbali mbali za Srikali ya Mapinduzi Zanzibar,ikiwemo Sheria ya kuweka Masharti ya mtoaji wa Leseni,Sheria Mpya ya Uwekezaji Zanzibar, Sheria ya Mahkama ya Kadhi, katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 01/02/2024.
Viongozi waliohudhuria katika hafla ya Utiaji wa saini Sheria mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar saini iliyotiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 01/02/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia saini Sheria ya Mahkama ya Kadhi,ambapo alitia saini Sheria mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ikiwemo Sheria ya kuweka Masharti ya mtoaji wa Leseni,Sheria Mpya ya Uwekezaji Zanzibar,Sheria ya Mkaguzi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 01/02/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi waliohudhuria katika hafla ya Utiaji wa saini Sheria mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mara baada ya utiaji wa Sheria hizo katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwemo Sheria ya kuweka Masharti ya Mtoaji wa Leseni,Sheria Mpya ya Uwekezaji Zanzibar, Sheria ya Mahkama ya Kadhi na Sheria ya Mkaguzi wa Umma .[Picha na Ikulu] 01/02/2024.