Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Mipeta Halmashauri ya wilaya Songea wakipita katika daraja jipya la mto Njoka lililojengwa na wakala wa barabara za mijini na vijijini(Tarura)kwa gharama ya zaidi ya Sh.milioni 696.
Daraja la zamani katika mto Njoka lililokuwa linatumika kuunganisha baadhi ya vijiji vya kata ya Kizuka na Muhukulu katika Halmashauri ya wilaya Songea mkoani Ruvuma,hata hivyo tayari serikali kupitia Tarura imejenga daraja jipya katika eneo hilo ili kurahisisha shughuli za usafiri na usafirishaji.