Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akitembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 18 Januari, 2024.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi, Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja alipowasili katika Viwanja vya Tawi la CCM Tasani Makunduchi kwa ajili ya kuzindua Uboreshaji wa Tawi hilo tarehe 18 Januari, 2024.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuashiria uzinduzi wa Uboreshaji wa Tawi la Chama cha Mapinduzi (CCM) Tasani Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja wakati alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 18 Januari, 2024.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Uboreshaji wa Tawi la Chama cha Mapinduzi (CCM) Tasani Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja wakati alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 18 Januari, 2024.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Viongozi na Wanachana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa Wilaya ya Kusini Unguja katika kijiji cha kitogani na Tunguu mara baada ya kuzindua Uboreshaji wa Tawi la Chama cha Mapinduzi (CCM) Tasani Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja wakati alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 18 Januari, 2024.