MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashuari ya CCM Taifa, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024 na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhandisi Nassir na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Kassim Majaliwa.(Picha na Ikulu).
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Ukumbi wa Kikao cha Kamati Kuu ya Hamashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Kassim Majaliwa.(Picha na Ikulu).
WAJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakisoma ajenda za Kikao hicho kabla ya kuaza, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024.(Picha na Ikulu).
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kilichofanyika leo 15-1-2024, katika Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu).
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,wakielekea katika ukumbi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024 na kuongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu).
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu, akiongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024, na (Kulia kwa Mwenyekiti ) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu).
WAJUMBE wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akifungua Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024.(Picha na Ikulu)