WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali akiondoa pazia kuifungua Barabara ya Mchangani hadi Dongongwe Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja iliyojengwa kwa kiwango cha lami yenye (4.30KM) ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Waziri) Mbunge wa Jimbo la Uzini Zanzibar Mhe. Khamis Hamza Khamis, Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar Mhe.Haji S Waziri na Viongozi mbalimbali wa Serikali.(Picha na Ikulu).
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali akikata utepe kuifungua Barabara ya Mchangani hadi Dongongwe Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja iliyojengwa kwa kiwango cha lami yenye (4.30KM) ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Waziri) Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe Haji .S.Waziri na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar.Hajida Khamis Rajab na (kulia kwa Waziri) Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Mhe. Sadifa Juma Khamis na Mbunge wa Jimbo la Uzini Zanzibar Mhe. Khamis Hamza Khamis.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali akitembeleo barabara ya Mchangani hadi Dongongwe Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kuifungua rasmin leo 10-1-2024 barabara hiyo iliyojengwa kwa kiwango cha lami yenye (4.30KM) ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)