Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed (kushoto) kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria ufunguzi rasmi wa Bandari Mpya ya Fumba Ports katika Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 08/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili Fumba kufungua Bandari mpya ya Fumba Ports inayofanya shuhuli za kushusha kontena katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 08/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Fumba Ports Ndg,Awadhi Ali wakati alipokuwa akiangalia Ramani ya Eneo la Bandari hiyo leo alipofika kuifungua Bandari mpya ya Fumba Ports inayofanya shuhuli za ushushaji wa Makontena ,ikiwa katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 08/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed (kushoto) kwa pamoja wakisoma maandishi ya Jiwe la ufunguzi rasmi wa Bandari Mpya ya Fumba Ports katika Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 08/01/2024.
Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed (wa tatu kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) wakati Rais alipotembelea sehemu za Bandari hiyo leo mara baada ya ufunguzi rasmi iliyojengwa Fumba,Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia) Mkurugenzi wa Fumba Ports Ndg,Awadhi Ali .[Picha na Ikulu] 08/01/2024.
Mwekezaji wa Bandari ya Fumba Ports Bw.Mohamed Jaffar akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakati Rais alipotembelea sehemu za Bandari hiyo leo mara baada ya ufunguzi rasmi, iliyojengwa Fumba,Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Mkurugenzi wa Fumba Ports Ndg,Awadhi Ali .[Picha na Ikulu] 08/01/2024.
Wananchi na Viongozi waliohudhuria katika Ufunguzi wa Bandari Mpya ya Fumba Ports katika Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 08/01/2024.