Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti na Mwekezaji wa Hoteli ya Nyota Tano ya Zanzibar Crown Hotel and Resort Limited Bw.Nadhim Al Rawahi alipowasili katika uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa Hoteli hiyo leo Mazizini Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (katikati) Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Ndg.Shariff Ali Shariff (kulia) Rais na Mwenyekiti wa Swiss-Belhotel International Nchini New Zealand Bw.Gavin M.Faull, .[Picha na Ikulu] 07/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akimsikiliza Mwekezaji wa Mradi wa Hoteli ya Nyota Tano ya Crown Hotel and Resort Zanzibar Makamo Rais ,Bw.Laurent Voivenel alipokuwa akielezea hatua mbali mbali za Hoteli hiyo iytakapo malizika ujenzi wake katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 07/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) akiondosha pazia na Mwenyekiti na Mwekezaji wa Hoteli ya Nyota Tano ya Zanzibar Crown Hotel and Resort Limited Bw.Nadhim Al Rawahi kama ishara ya uwekaji wa jiwe la Msingi Hoteli hiyo leo Mazizini Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 07/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, leo ameweka jiwe la msingi Jengo hili la Hoteli ya Nyota Tano ya Zanzibar Crown Hotel and Resort Limited liliopo Mazizini Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 07/01/2024.
Viongozi na Wananchi na WanaCCM waliohudhuria katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Jengo la Hoteli ya Nyota Tano ya Zanzibar Crown Hotel and Resort Limited,wawekezaji kutoka Nchini New Zealand jengo liliopo Mazizini Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 07/01/2024.