RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Familia ya Marehemu Shomari Khamis Shomari ,Kaka wa Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe Zainab Khamis Shomari, alipofika nyumbani kwa marehemu Jangombe Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu leo 2-1-2024.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Shomari Khamis Shomari, Kaka wa Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainab Khamis Shomari, alipofika nyumbani kwa marehemu Jangombe Wilaya ya Mjini Unguja leo 2-1-2024.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na familia ya Marehemu Shomari Khamis Shomari, katika kuitikia dua ya kumuombea marehemu, ikisomwa na Sheikh Abdallah Zuberi Maruzuk (hayupo pichani) baada ya kumaliza kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu leo 2-1-2024, alipofika nyumbani kwa marehemu Jangombe Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Ndg.Abass Mtevu, alipomaliza kutowa mkono wa pole kwa familia ya Marehemu Shomar Khamis Shomar, Kaka wa Makamu Mwenyekiti wa (UWT) Taifa Zainab Khamis Shomari, nyumbani kwa marehemu Jangombe Wilaya ya Mjini Unguja leo 2-1-2024.(Picha na Ikulu)