Masta Shangwe (mwenye kofia ngumu) pamoja na Meneja wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, George Venanty (wa kwanza kushoto) wakikabidhi mfano wa kadi ya bima kwa Muuguzi mfawidhi Simphorosa Silalye (wa kwanza kulia) na mmojawapo wa akina mama walionufaika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha ya Mt. Meru mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni yake inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, kampuni hii imekabidhi kadi za bima kwa akina mama 100 na watoto 100 hospitalini hapo ikiwa ni zawadi ya upendo kutoka kwa kampuni hiyo katika msimu huu wa sikukuu.
Masta Shangwe kutoka Vodacom Tanzania PLC (mwenye kofia ngumu) akikabidhi baadhi ya zawadi kwa mmojawapo wa akina mama walionufaika na bima ya afya ya bure katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Arusha ya Mt. Meru mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni yake inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, kampuni hii imekabidhi kadi za bima kwa akina mama 100 na watoto 100 hospitalini hapo ikiwa ni zawadi ya upendo kutoka kwa kampuni hiyo katika msimu huu wa sikukuu.
Mshindi wa pesa taslimu shilingi milioni 10 kupitia kampeni ya Vodacom Tanzania PLC inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, Bi. Priskila Gabriel Roone (kulia) akiwa ameshikilia mfano wa hundi pamoja na Masta Shangwe (mwenye kofia ngumu) katika viwanja vya Kilombero mkoani Arusha mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni hii wateja wanayo fursa ya kushinda zawadi mbalimbali ikiwemo bodaboda, luninga, simu za mkononi, router za 4G na 5G pamoja na pesa taslimu kila wiki kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni 10 kwa kununua vifurushi, kufanya malipo kwa M-Pesa na kupakua DJ Mixes kupitia Mdundo.
Masta Shangwe (mwenye kofia ngumu) kutoka Vodacom Tanzania PLC akikabidhi luninga kwa mshindi wa kampeni inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, pamoja na George Venanty, Meneja wa Vodacom Kanda ya Kaskazini (kushoto) katika viwanja vya Kilombero mkoani Arusha mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni hii wateja wanayo fursa ya kushinda zawadi mbalimbali ikiwemo bodaboda, luninga, simu za mkononi, router za 4G na 5G pamoja na pesa taslimu kila wiki kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni 10 kwa kununua vifurushi, kufanya malipo kwa M-Pesa na kupakua DJ Mixes kupitia Mdundo.
Masta Shangwe (mwenye kofia ngumu) kutoka Vodacom Tanzania PLC akiwa na mshindi wa bodaboda wa kampeni inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, akishuhudiwa na George Venanty, Meneja wa Vodacom Kanda ya Kaskazini (kushoto) katika viwanja vya Kilombero mkoani Arusha mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni hii wateja wanayo fursa ya kushinda zawadi mbalimbali ikiwemo bodaboda, luninga, simu za mkononi, router za 4G na 5G pamoja na pesa taslimu kila wiki kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni 10 kwa kununua vifurushi, kufanya malipo kwa M-Pesa na kupakua DJ Mixes kupitia Mdundo.
Washindi mbalimbali wa kampeni inayoendelea ya Vodacom Tanzania PLC ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao katika viwanja vya Kilombero mkoani Arusha mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni hii wateja wanayo fursa ya kushinda zawadi mbalimbali ikiwemo bodaboda, luninga, simu za mkononi, router za 4G na 5G pamoja na pesa taslimu kila wiki kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni 10 kwa kununua vifurushi, kufanya malipo kwa M-Pesa na kupakua DJ Mixes kupitia Mdundo.