Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum wakifungua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni leo ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Picha na Ikulu] 30/12/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt .Juma Akili Malik,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Mohamed (Dimwa),Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Saada Mkuya Salum,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) Ndg,Nassor Shaaban Ameir.[Picha na Ikulu] 30/12/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi mfano wa Funguo Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita katika hafla ya ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) Ndg,Nassor Shaaban Ameir (kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Saada Mkuya Salum. [Picha na Ikulu] 30/12/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi kikombe Nahodha wa Timu ya Karume Boys Ashraf Ali Othman, baada ya ushindi na Timu ya ZSSF katika mchezo wa Ufunguzi wa Vyanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) Ndg,Nassor Shaaban Ameir . [Picha na Ikulu] 30/12/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Karume Boys baada ya ushindi wa bao 1-0 na Timu ya ZSSF katika mchezo wa Ufunguzi wa Vyanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar . [Picha na Ikulu] 30/12/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipuliza filimbi kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Kiwanja cha Mipira cha Matumbaku wakati wa Ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Saada Mkuya Salum, (wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) Ndg,Nassor Shaaban Ameir.[Picha na Ikulu] 30/12/2023.
Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi .[Picha na Ikulu] 30/12/2023.