Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mtoto Cephas Kinunda mara baada ya ibada ya Misa
Takatifu Dominika ya 33 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika
kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es
Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa parokia hiyo Padre
Dkt. Alister Makubi, Novemba 17, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko
wa parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi na Mzee wa
Kanisa Dkt. Adelhelm Meru mara baada ya ibada ya Misa
Takatifu Dominika ya 33 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika
kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es
Salaam. Novemba 17, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Janeth Magufuli, Mama Marry Majaliwa (Mke wa
Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa) pamoja na Waumini
wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu
Dominika ya 33 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Ibada iliyoongozwa na Paroko wa parokia hiyo Padre Dkt.
Alister Makubi, Novemba 17, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe
Janeth Magufuli, Mama Marry Majaliwa (Mke wa Waziri
mkuu Mhe. Kassim Majaliwa) wakipeana mikono ya Amani
na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakati wa ibada ya
Misa Takatifu Dominika ya 33 ya Mwaka “C” iliyofanyika
katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini
Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa parokia
hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Novemba 17, 2019.