Baadhi ya Watumishi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakiwa katika mafunzo hayo
Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Mhe, Dkt. Atuganile Ngwala(kushoto) akitoa Mafunzo kwa Wasaidizi wa Kumbukumbu, Makatibu Mahsusi na Wasaidizi wa ofisi wa Mahakama hiyo, ambapo aliwataka kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za Utumishi wa Umma katika kutekeleza majukumu yao ya kazi. Aidha Dkt. Ngwala aliwataka watumishi hao kuzingaatia maadili ya kazi zao kuwa mstari wa mbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA). Kulia ni Naibu Msajili Mahakama Kuu Kanda ya Dare Salaam, Mhe.Ruth Massam.
Msaidizi wa Kumbukumbu wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Bi. Tupokigwe Mwaipopo akichangia jambo
Msaidizi wa Kumbukumbu wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Bi. Neema Lucasi akichangia jambo.
(Picha na Magreth Kinabo- Mahakama)