Na John Walter-Manyara
Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa (TANAPA) imetoa kikosi cha askari wake 19 na kiongozi mmoja kuungana na vikosi vingine vya majeshi vilivyopo katika eneo lilopata
Na John Walter-Manyara
Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa (TANAPA) imetoa kikosi cha askari wake 19 na kiongozi mmoja kuungana na vikosi vingine vya majeshi vilivyopo katika eneo lilopata maafa ya maporomoko ya mawe na miti wilayani Katesh Mkoa wa Manyara.
Lengo la kikosi hicho ni kusaidia kutoa utaalamu katika uokoaji.na kurejesha haraka hali ya miundombinu ya mji huo.
Kaimu kamishna wa uhifadhi (TANAPA) Mussa Kuji amesema maafa yaliyotokea yamepoteza nguvu kazi ya Taifa na kuleta huzuni Kwa watu kufuatia kupoteza ndugu,wazazi na watoto.
“Napende kutoa pole kwa Jamii ya Katesh Kwa maafa ambayo hayakutegemewa maafa ambayo yamegharimu watu wengi na kuacha watu hao wakiumia na kupoteza wapendwa waoTANAPA inawafariji”. Alisema
TANAPA imetoa mashine ya kusaidia shughuli za uokoaji, na shilingi Milioni kumi.
maafa ya maporomoko ya mawe na miti wilayani Katesh Mkoa wa Manyara.
Lengo la kikosi hicho ni kusaidia kutoa utaalamu katika uokoaji.na kurejesha haraka hali ya miundombinu ya mji huo.
Kaimu kamishna wa uhifadhi (TANAPA) Mussa Kuji amesema maafa yaliyotokea yamepoteza nguvu kazi ya Taifa na kuleta huzuni Kwa watu kufuatia kupoteza ndugu,wazazi na watoto.
“Napende kutoa pole kwa Jamii ya Katesh Kwa maafa ambayo hayakutegemewa maafa ambayo yamegharimu watu wengi na kuacha watu hao wakiumia na kupoteza wapendwa waoTANAPA inawafariji”. Alisema.
TANAPA imetoa mashine ya kusaidia shughuli za uokoaji, na shilingi Milioni kumi.