Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiongea na washiriki wa mafunzo ya wadadishi wa utafiti wa mwaka 2019 kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Iringa ambaye hakuwepo kutokana na kuwa na majukumu mengine ya kiserikali

Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiagana na mtakimwi mkuu wa serikali Dr Albina Chuwa mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya wadadishi wa utafiti wa mwaka 2019 kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Iringa ambaye hakuwepo kutokana na kuwa na majukumu mengine ya kiserikali
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
Watafiti wote wanaofanya utafiti Tanzania wametakiwa kufanya utafiti wakiwa wanaelimu ya
utafiti kutoka chuo cha takwimu hapa nchini au nje ya nchini kwa lengo la
kuondoa takwimu zisizo sahihi ambazo zimekuwa zikileta migogoro kwenye jamii.

Akizungumza
kwenye ufunguzi wa mafunzo ya wadadishi wa utafiti wa mwaka 2019 kwa niaba ya
mkuu wa mkoa wa Iringa,mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amesema kuwa
watakwimu wote wanatakiwa kufanya tafiti wakiwa na cheti kinachomsibitisha kuwa
ni mtakwimu.

“Wanaojiita
mtakwimu yeyeto yule lazima awe na cheti ambacho kinamdhibitisha kuwa ni
mtakwimu na amesaini maadili ya takwimu la sivyo atakuchuliwe hatua za kisheria
na pia hataruhusia kufanya kazi za kitafiti katika eneo usiku” alisema Kasesela

Kasesela
alisema kuwa watakwimu wakitoa takwimu ambazo sio sahihi sinaleta tatizo kwenye
usalama wa taifa kwa unakuwa umetikisa usalama wa taifa.

“Huyu
mama na watu wake ni muhimu sana kwa usalama wa nchini kwa kuwa wanatoa takwimu
zilifanyiwa kazi na zimethibitishwa na mamlaka husika” alisema Kasesela

Aidha
Kasesela amesema kuwa watafiti wengi wanatakiwa kurudi darasani ili kuwasaidia
kutoa takwimu zilizo sahihi na zisizoleta madhara kwa usama wa taifa.

Awali
akitoa maelezo kwa ufupi kwa mgeni rasmi,mtakimwi mkuu wa serikali Dr Albina
Chuwa amesema kuwa watatumia technolojia ya hali ya juu kukusanya takwimu
zilizo sahihi kwa muda mfupi.

“utafiti
huu kwa weledi wa juu wa kutumia teknolojia ya Kisasa ya kusanya takwimu Nchi
nzima kwa muda mfupi na kupunguza gharama
na Utafiti huu umgefanyika miaka kumi kumi iliyopita ungegharamiwa kwa
Tshs. Bilioni 5 lakini kwa matumizi ya teknojia ya Tablets imepunguza gharama
kwa nusu,Utafiti huu utagharimu TShs. Bilioni 2 na Matokeo yatatolewa mwezi
Desemba 2019” alisema Chuwa

Hata hivyo Chuwa
alisema dhahiri teknolojia kwa kiasi kikubwa imepunguza gharama za kufanya
Tafiti hapa Nchini na nitumie nafasi kutoa wito kwa Watakwimu wote Nchini kuwa
ni vyema tujikite zaidi katika kuendeleza kujifunza zaidi teknolojia za kisasa
za kuchakata taarifa za Kitakwimu kwa kuwa kwa sasa Dunia kila siku mbinu mpya
za kitakwimu zinaendelea kufanyiwa majaribio na kutumika na Maofisi ya Takwimu
Duniani.

“Napenda kuwaomba
Benki ya Dunia na IMF kuendelea kuzijengea uwezo Ofisi za Takwimu za Afrika
katika Matumizi ya teknojia mbali mbali za kuchakata takwimu wakati
tunapoelekea kutekeleza Malengo Endelevu ya Maendeleo ya Dunia ya mwaka 2030”
alisema Chuwa

Aidha Chuwa alisema
kuwa hanashaka na matokeo ya Utafiti huu kwa kuwa juhudi zinazoendelea
kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Mpendwa wetu Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli za kupambana na uchumi wa Viwanda asilimia za upatikanaji
wa yakavuka malengo yaliyowekwa katika Kabambe wa Kuendeleza Sekta ya
Umeme hapa Nchini. Miradi ya Kimkakati iliyoainishwa kwenye Mpango wa Pili wa
Maendeleo -2016/ 17 2020/21 umebainisha mikakati ya upatikanaji wa umeme wa
kutosha hapa Nchini.