Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omar na Padri Andrew Mtweve wa CCT katika picha na wadau baada ya kuongoza dua na sala kuwaombea na kuwarehemu ndugu jamaa na marafiki wa Club za Michezo za zilizokuwa zikendesha Sunday Soccer Bonanza za Tazara, Singasinga, Sigara , Checkpoint, Mango Garden na Maasai Club ambao wametangulia mbele ya haki katika Viwanja via Leaders Club Jijini Dar es Salaam jana Jumamosi.
Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omar na wadau wakimsikiliza Padri Andrew Mtweve wa CCT akiongoza sala kuwaombea na kuwarehemu ndugu jamaa na marafiki wa Club za Michezo za zilizokuwa zikendesha Sunday Soccer Bonanza za Tazara, Singasinga, Sigara , Checkpoint, Mango Garden na Maasai Club ambao wametangulia mbele ya haki katika Viwanja via Leaders Club Jijini Dar es Salaam jana Jumamosi
Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omar na Padri Andrew Mtweve wa CCT wakioineshwa picha na majina ya marehemu wakati wa dua na sala kuwaombea na kuwarehemu ndugu jamaa na marafiki wa Club za Michezo za zilizokuwwa zikendesha Sunday Soccer Bonanza za Tazara, Singasinga, Sigara , Checkpoint, Mango Garden na Maasai Club ambao wametangulia mbele ya haki katika Viwanja via Leaders Club Jijini Dar es Salaam Leo Jumamosi kuanzia saa tano asubuhi.