Mratibu wa Kitengo cha Ushirikishwaji wa wanawake katika kazi za barabara Eng. Gladness Kitaly, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Wasioona ya Buigiri, wilayani Chamwino, jijini Dodoma wakati Ujumbe wa Wahandisi kutoka Wizara ya Ujenzi ulipofika Shuleni hapo kuhamasisha masomo ya Sayansi na Hisabati kwa wanafunzi hao.
Mratibu wa Kitengo cha Ushirikishwaji wa wanawake katika kazi za barabara Eng. Gladness Kitaly, akikabidhi vifaa vya kujifunzia kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Wasioona ya Buigiri, Samuel Jonathan, wakati Ujumbe wa Wahandisi kutoka Wizara ya Ujenzi ulipofika Shuleni hapo kuhamasisha masomo ya Sayansi na Hisabati kwa wanafunzi hao, wilayani Chamwino, jijini Dodoma.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Wasioona ya Buigiri, wakionyesha vifaa vya kujifunzia na kuandikia walivyovyopewa, wakati Ujumbe wa Wahandisi kutoka Wizara ya Ujenzi ulipofika Shuleni hapo kuhamasisha masomo ya Sayansi na Hisabati kwa wanafunzi hao, wilayani Chamwino, jijini DodomaPICHA NAMBA
Mratibu wa Kitengo cha Ushirikishwaji wa wanawake katika kazi za barabara Eng. Gladness Kitaly, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya walimu na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Wasioona ya Buigiri, wakati Ujumbe wa Wahandisi kutoka Wizara ya Ujenzi ulipofika Shuleni hapo kuhamasisha masomo ya Sayansi na Hisabati kwa wanafunzi hao, wilayani Chamwino, jijini DodomaPICHA NA WU