Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akipokea zawadi kutpka kwa Naibu Gavana Usimamizi na Uthabiti wa Sekta ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania Bi Sauda Kassim Msemo mara baada ya kutembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya wiki ya taasisi za Kifedha yanayofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Abri Abeid jijini Arusha.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Naibu Gavana Usimamizi na Uthabiti wa Sekta ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania Bi Sauda Kassim Msemo wakati alipotembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya wiki ya taasisi za Kifedha yanayofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Abri Abeid jijini Arusha.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja msaidizi wa Mawasiliano, Benki kuu ya Tanzania BoT Noves Mosses wakati alipotembelea katika banda la benki hiyo kwenye maonesho ya wiki ya taasisi za Kifedha yanayofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Abri Abeid jijini Arusha.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Meneja msaidizi wa Mawasiliano, Benki kuu ya Tanzania BoT Noves Mosses wakati alipotembelea katika banda la benki hiyo kwenye maonesho ya wiki ya taasisi za Kifedha yanayofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Abri Abeid jijini Arusha.