Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Godfrey Chongolo akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali na Makandarasi Wazawa, Washauri Waelekezi pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya ujenzi wa kujadili nafasi yao katika utekelezaji wa miradi na masuala yanayohusu sekta hiyo, uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, leo Jumanne Novemba 21, 2023 jijini Dodoma.
MAKOMREDI WAKITETA JAMBO
By John Bukuku
November 21, 2023 | 4:20 pm

Related Stories
View all
Siasa
2 days ago
TANZANIA YASISITIZA MSHIKAMANO KATIKA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA KIKANDA
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza utayari wake wa kuendelea kuunga mkono juhudi za kikanda za kuimarisha amani na usalama katika ukanda wa SADC…
Siasa
2 days ago
RAIS DKT. NDAITWAH AONDOKA TANZANIA BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA YAKE YA SIKU TATU
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, ameondoka nchini baada ya kukamilisha Ziara ya Kitaifa ya siku tatu nchini iliyofanyika kuanzia tarehe…