Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea tunzo kutoka kwa Balozi wa India Nchini Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (kulia) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar katika kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu] 06/11/2023.
Wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar katika kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi wakiwa katika hafla ya ufunguzi rasmi wa taasisi hiyo iliyofuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.[Picha na Ikulu] 06/11/2023.
Wazee wa Kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi walipokuwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi rasmi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 06/11/2023. Viongozi mbali mbali wa Taasisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi rasmi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 06/11/2023.Watoto wa Skuli ya Mkunazini wakicheza Ngoma ya kihindi wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar iliyofanyika katika kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi iliyofuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.[Picha na Ikulu] 06/11/2023.
Baadhi ya Wahadhiri wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) nchini India waliohudhuria katika ufunguzi rasmi wa Taasisi hiyo Kampasi ya Zanzibar iliyofanyika leo katika kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa mgeni rasmi.[Picha na Ikulu] 06/11/2023.