Sadio Mane (kulia) akishangilia na beki Virgil Van Dijk baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 51 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester City kwenye Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield leo. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Fabinho dakika ya 6 na Mohamed Salah dakika ya 13, wakati la Man City limefungwa na Bernardo Silva dakika ya 78. Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 31 baada ya kucheza mechi 11 na sasa inawazidi pointi sita mabingwa watetezi, Man City ambao wanaporomoka hadi nafasi ya nne wakizidiwa ponti moja na zote Leicester City na Chelsea PICHA ZAIDI SOMA HAPA
LIVERPOOL YAITANDIKA 3-1 MAN CITY LIGI KUU ENGLAND
By Alex Sonna
November 10, 2019 | 6:56 pm

Related Stories
View all
Michezo
1 week ago
SERIKALI YATENGA BILIONI 6.6 KUIMARISHA BIASHARA YA KABONI
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akisalimiana na mchambuzi wa masuala ya mazingira na tabianchi kutoka Norway Bw. Herald Frankie…
Michezo
1 week ago
ZANZIBAR YATANGAZA BEI ELEKEZI MATUMIZI YA VIWANJA VYA MICHEZO
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar imetangaza bei elekezi ya matumizi ya Viwanja 17 vya michezo ili kurahisisha utapatikanaji wa…
