Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais mteule wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiwashukuru Wajumbe waliompigia kura na kushinda nafasi hiyo leo tarehe 27 Oktoba, 2023 Jijini Luanda, Angola. Dtk. Tulia ameshinda kwa kupata kura 172 kati ya 303. PICHA NA OFISI YA BUNGE