Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wapili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa kampuni ya Orkun Group Zanzibar Bw.Jumhur Barash (kulia) wakati alipofika kuweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Jozani-Charawe-Ukongoroni- Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja leo akiwa katika mfululizo wa ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake .[Picha na Ikulu] 25/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) pamoja na Viongozi wengine wakifurahia kwa pamoja mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Jozani-Charawe-Ukongoroni- Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja leo akiwa katika mfululizo wa ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake .[Picha na Ikulu] 25/10/2023.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Orkun Group Zanzibar inayojenga barabara ya Jozani-Charawe-Ukongoroni- Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja,pamoja na Wananchi wakiwa katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi lililowekwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) eneo la Mapandani akiwa katika mfululizo wa ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake .[Picha na Ikulu] 25/10/2023.
Baadhi ya wanafunzi wa maeneo ya Ukongoroni na Charawe pamoja na Bwejuu wakiwa na Wazee wao katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi lililowekwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) eneo la Mapandani akiwa katika mfululizo wa ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake .[Picha na Ikulu] 25/10/2023.
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM hawako nyuma katika kumuunga mkono Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ziara zake katika Mikoa ya Unguja katika Mfululizo wa kukagua miradi ya mbali mbali ya maendeleo katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake .[Picha na Ikulu] 25/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea Taarifa ya Utekelezaji ya Mko wa Kusini kutoka kwa Mkuu wa Mkoa huo Mhe.Rashid Hadid Rashid leo katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Jozani-Charawe-Ukongoroni- Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja leo akiwa katika mfululizo wa ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake .[Picha na Ikulu] 25/10/2023.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Abdul-latif Yussuf alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) kuzungumza na Wananchi katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi ujenzi wa barabara ya Jozani-Charawe-Ukongoroni- Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja leo akiwa katika mfululizo wa ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo katika shamra shamra za miaka mitatu ya Uongozi wake .[Picha na Ikulu] 25/10/2023.