Wataalamu wa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa nchini India wakifanya upasuaji mdogo wa moyo kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI) wakati wa mafunzo ya siku tano kwa wataalamu hao yanayoendelea nchini India.
Wataalamu wa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa nchini India wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya upasuaji mdogo wa moyo kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI) wakati wa mafunzo ya siku tano kwa wataalamu hao yanayoendelea nchini India.