Wachezaji wa Manchester United wakipongezana baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Partizan Belgrade mabao ya Mason Greenwood dakika ya 21, Anthony Martial dakika ya 33 na Marcus Rashford dakika ya 49 kwenye mchezo wa Kundi L UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Ushindi huo unaifaanya Man United ifikishe poniti 10 katika mchezo wa nne na kendelea kuongoza kundi hilo ikiizidi AZ pointi mbili huku ikijihakikishia kuingia hatua ya mtoano ya micbuano hiyo PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MAN UNITED YAICHAPA 3-0 PARTIZAN BELGRADE EUROPA LEAGUE
By Alex Sonna
November 8, 2019 | 4:11 am

Related Stories
View all
Michezo
2 hours ago
WANAMICHEZO WA KIMATAIFA KUSHAWISHI UWEKEZAJI NCHINI
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Gerson Msigwa amesema kuwa ujio wa wanamichezo wa…
Michezo
3 days ago
HISTORIA NA MAFANIKIO YA TANZANIA PRISONS SC YAWEKWA WAZI KWA MASHABIKI, JIJINI DODOMA
Na. Ssgt Mawazo Mtondo – Dodoma. Mkuu wa Sehemu ya Huduma kwa wafungwa (OMS)Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Emmanuel Malisa,…
