Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Itigi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya kiwango cha Lami kutoka Makongorosi-Rungwa-Noranga-Mkiwa sehemu ya Mkiwa-Itigi-Noranga km 56.9 kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika Itigi Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.
Sehemu ya Wananchi wa Itigi na maeneo jirani wakiwa kwenye Mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mji huo Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.
Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Itigi Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.
Msanii Mrisho Mpoto akitumbuiza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Itigi Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Singida Magharibi eneo la Puma katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, Wananchi wa Jimbo la Singida Magharibi katika eneo la Puma wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 15 Oktoba, 2023.