Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akizungumza kwenye maadhimisho ya Jubilei ya miaka 125 ya uinjlishaji Jimbo Kuu Katoliki la Songea yaliyofanyika kwenye viwanja vya Abasia ya Peramiho ambapp Waziri Mkuu alikuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo.
Kulia ni Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akisalimiania na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Songea Mhashamu Damian Dallu kwenye maadhimisho ya Jubilei ya mika 125 ya Jubilei ya Kanisa katoliki Jimbo kuu la Songea.
Baadhi ya abiria wakipanda ndege kwenye kiwanja cha ndege Songea ambapo Waziri Mkuu amemuagiza Mkurugenzi wa ATCL kuangalia uwekezakano wa kuongeza safari za ndege kutoka tatu hadi tano kwa wiki kutokana nan kuongezeka kwa idadi ya abiria kwenye kiwanja cha ndege Songea
baadhi ya maaskofu kutoka majimbo mbalimbali nchini wakiwa kwenye maandamano ya jubilei ya miaka 125 ya uinjilishaji wa Jimbo Kuu la Songea .