Na Dotto Mwaibale, Singida WAFUGAJI Tisa akiwamo mtoto mdogo wa jamii ya Kimasai wametua katika Jimbo la Singida Mashariki lililopo wilayani Ikungi mkoani Singida linaloongozwa na Miraji Mtaturu baada ya kupata taarifa kuwa mwaka jana mbunge huyo alikuwa akitoa msaada wa chakula. Wamasai hao waliwasili mjini Ikungi wakitokea Kata ya Inokanoka Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro na kupokelewa katika kitongoji cha Misri Kijiji cha Ikungi ambapo waliuliza watawezaje kumuona Mbunge Mtaturu. Wafugaji hao ambao walikuwa katika hali ya kudhoofu kutokana na njaa na Baada ya polisi kujiridhisha kuwa wageni hao walikuwa na nia ya kumuona Mbunge Mtaturu mwenyeji wao Mama Saiduni aliwapa chumba ambapo walilala hadi siku iliyofuata ambayo mbunge huyo alifika akitokea bungeni Dodoma na kuzungumza nao na baadae kuwapa msaada wa chakula. Mama wa familia hiyo ya jamii ya kimasai alisema wao walikuwa hawamjui Mbunge Mtaturu walikuwa wakilijua jina lake tu baada ya kusikia alipokuwa akiwasaidia watu chakula mwaka jana. “Tulikuwa hatumfahamu Mtaturu tulikuwa tunalijua jina lake tu baada ya Mama huyo alisema kufuatia nyumbani kwao kuwa na hali ngumu ya maisha Akizungumza na wananchi hao Septemba 17, 2023 baada ya kuwapatia chakula Mtaturu aliwapa pole kwa safari ndefu hadi kufika Ikungi lakini aliwaomba mara baada ya kufika nyumbani kwao waende eneo la Msomera wilayani Handeni mkoani “Ninyi wenyewe mmekiri kuwa eneo mnaloishi hamuwezi kufanya kilimo na Baadhi ya wananchi wa wilaya ya Ikungi walimpongeza Mbunge Miraji Mtaturu kwa hatua ya haraka aliyoichukua ya kutoka bungeni Dodoma kwenda Ikungi kuonana Aidha, alipongezwa Mama Saiduni kwa moyo wa upendo wa kuwapokea wageni hao na kuwapa mahali pa kulala na jinsi alivyowasiliana na viongozi wa kitongoji |
Mbunge wa Jimbo la Singida, Mashariki, Miraji Mtaturu kipenzi cha Wananchi wa jimbo lake na maeneo mengine ya nchi akiwa katika moja ya mikutano yake wilayani Ikungi.