Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Jumuiya ya Watanzania wanaoishi na wale wanaopata elimu ya ngazi mbalimbali nchini Hungary, mazungumzo yaliofanyika Jijini Budapest nchini Hungary.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza changamoto mbalimbali zinazotolewa na Jumuiya ya Watanzania wanaoishi na wale wanaopata elimu ya ngazi mbalimbali nchini Hungary wakati wa mazungumzo yaliofanyika Jijini Budapest nchini Hungary.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja baadhi ya Watanzania wanaoishi na wale wanaopata elimu ya ngazi mbalimbali nchini Hungary mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Jijini Budapest nchini Hungary. (Wengine waliokaa kutoka kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Mbarouk pamoja na Mwakilishi wa kudumu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Umoja wa Mataifa – Uswisi Balozi Abdallah Possi).
…………..